Advertisement |
MSAIDIZI WA HESABU (ACCOUNTS ASSISTANT) - MDA'S - 15 POST
Employer: MDAs & LGAs Date Published: 2018-03-28 Application Deadline: 2018-04-11 JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i. Kuandika na kutunza “register” zinazohusu shughuli za uhasibu;
ii. Kuandika hati za malipo na hati za mapokezi ya fedha;
iii. Kutunza majalada yenye kumbukumbu za hesabu;
iv. Kupeleka barua/nyaraka za uhasibu Benki; na
v. Kufanya usuluhisho wa masurufu, karadha, Hesabu za Benki na Amana.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wenye Cheti cha ATEC level II au “Foundation Level” kinachotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA).
REMUNERATION: Salary Scale ngazi ya Mshahara TGS B
0 comments: