Advertisement |
Monday 2nd, October 2017
@MOROGORO TEACHER'S COLLEGE (KIGURUNYEMBE)
Mkurugenzi mtendaji ndugu Florent Kyombo anawatangazia wananchi wote waliochaguliwa kwenye usaili utakaofanyika Chuo Cha Ualimu Kigurunyembe kuanzia tarehe 1/10/2017 hadi tarehe 4/10/2017,wasailiwa wote wanapaswa kuzingatia muda.
0 comments: