Sunday, 30 July 2017

Clinical Officer II at Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

ad300
Advertisement

                              

Application deadline 2017-08-11
Location
Dodoma Mjini Dodoma
Description
Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia kibali cha ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, inatangaza nafasi za kazi 3,152 kwa wahitimu wa kada za Afya chini. Wizara ina jukumu la kuwapangia vituo vya kazi waombaji wenye sifa kwa mujibu wa Waraka wa Maendeleo ua Utumishi ya Kada chini ya Wizara ya Afya.
Sifa za Mwombaji:
  1. Awe ni raia wa Tanzania
  2. Awe na umri usiozidi miaka 45
  3. Asiwe mwajiriwa wa Seriakli au asiwe mwajiriwa wa Hospitali za Mashirika ya Dini ambaye mshahara wake unalipwa na serikali
  4. Asiwe ameshawai kufanya kazi serikalini na kuacha kazi
Maombi yote yaambatanishwe na:
Nakala ya Cheti cha Taaluma
  1. Nakala ya Cheti cha Kidato cha nne/sita
  2. Maelezo binafsi (CV)
  3. Picha (Passport size mbili) za hivi karibuni
  4. Nakala ya Cheti cha usajili au leseni ya kufanya kazi ya Taaluma husika.
  5. Nakala ya cheti cha kuzaliwa
Nakala za vyeti vya Taaluma na vyeti vya kidato cha nne/sita vithibitishwe na Hakimu au Wakili
 
APPLICATION
Wahitimu wote wa kada za Afya zilizotajwa hapo juu mnaombwa kutuma moambi yenu kwa njia ya posta kupitia anuani ifuatayo na si vinginevyo:
Katibu Mkuu (Afya),
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
Chuo Kikuu cha Dodoma,
Kitivo cha Sanaa na Sayansi ya Maendeleo ya Jamii,
Jengo Na.11,
S.L.P. 743,
40478 DODOMA
Tangazo hili linapatikana katika tovuti yetu: www.moh.go.tz
Share This
Previous Post
Next Post

FURSA AJIRA Is is an East Africa site which announcing, publishing job vacancies everyday from the government portals, recruiters agencies, organizations, companies and institutions to those jobless people. Get your dream job by visiting this site everyday or just install Fursa Ajira App

0 comments: